HESLB: Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100

Dead Man

JF-Expert Member
Jul 17, 2021
709
826
Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu.

Chanzo cha habari: Mwananchi.

My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye chuo kimoja.
 
Samahani wakuu naomba kuuliza. Hizi siku 10 zilizoongezwa ni kwa vijana wa JKT pekee ama ni pamoja na wote waliochelewa?
 
Inasemekana ni vijana wa jkt.
Pia nasikia za chinichini Kuwa kwa ambao hawakuenda jkt pasipo sababu maalumu wachukuliwe hatua za kinidhamu
 
Hio namba ya 782 ni sahihi au? Maana nakumbuka enzi za Kikwete class kwetu tulikua watu 200+ na wote tulikua na 100% na hio ni kozi moja tu.. saaa hio namba ni ya nchi nzima?
 
Hata mimi najiuliza Kuwa wamekosea kuandika namba au ndio ilivyo
 
Bodi ya Mikopo kwa elimu ya juu (HESLB) wamesema Wanafunzi 782 kupata mikopo asilimia 100 mwaka huu.

Chanzo cha habari: Mwananchi.

My take: Hivi hii number ni sahihi kuwa bodi ndio imetoa? Au mwananchi wamejichanganya kwenye kuandika number maana idadi hiyo ni sawa na idadi ya kozi moja kwenye chuo kimoja.
Hahaha, labda wanamaanisha 7,820
 
Back
Top Bottom