HESLB: Ufafanuzi wa taarifa ya deni katika Salary Slips mwezi Juni, 2021

Emmanuel Robinson

JF-Expert Member
May 29, 2013
1,503
1,139
Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.

IMG-20210702-WA0005.jpg
 
Hawa HESLB WANA MATATIZO MAKUBWA SANA ....SERIKALI IIMULIKE BODI HII KWA KARIBU, HAINA MAANA KILA SIKU MNALALAMIKIWA NINYI TUUUUUUUI.....
 


Ngoma ya kitoto haikeshi, ninapata tabu kuamini kwamba vijana wanafunzi wana backup sahihi. Jumuiya ya wazazi isaidie kuwakilisha mahtaji yanayohusu vijana wetu vyuoni na mashuleni kwa sababu haijalishi wana umri gani, lakini bado wanahitaji backups za nguzo ambazo sitegemezi.



Obrigado

 
Pia, Salary slips zimerekebishwa. Unaweza kuangalia upya.

NB. Kwenye hili tatizo sio HESLB bali hazina.
 
Mtumishi ukikatwa hela pasipo ridhaa yako nenda mahakamani fungua kesi,mwisho dai fidia ya bilioni 1.kwa alie kukata.
 
Back
Top Bottom