HESLB: Serikali imeanza kulipa Malipo ya robo ya nne ya Mwaka wa Masomo 2019/2020 kwa Wanafunzi 132,119 Jumla ya TZS 66.9 Bilioni

Saivi ndipo nimekumbuka Yale mawazo yangu ya kuacha chuo kuwa yalikuwa sahihi. Sasa hivi kwa madeni niliyonayo naenda kutumia pesa yote kwa ajiri ya kulipa madeni tu. Sasa ninachojiuliza Ni kwamba baada ya kufanya paper mimi naendaje mtaani make nipo finalist.

Kulipa ada na kuacha ili nikaanze maisha kitaani kipi bora?
 
Mbona mnalalamika, shida nini?
 
Usiache chuo.. Komaa umalize.. By the way loan board sio wenye final say.. Pokeeni hicho kidogo kisha muandike barua za malalamiko kwenda ngazi za juu!
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom