HESLB rudishieni pesa za watu!

Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ITV Naibu Waziri wa Elimu Ndg Ole Nasha alikuwa bodi ya mikopo ya wanafunzi,nashangaa wanaongelea rufaa kwa waliokosa mkopo iwe tayari kabla ya Novemba 30 wakati hata bach ya 3 na zingine bado kiasi cha wanafunzi 9000 walobaki, na kwenye dashboard ya bodi wanasema batches zingine ni baada wanafunzi kuwa tayari wameandikishwa vyuoni.
Yani novemba 30 ndo iwe mwisho wa kusubmit rufaa au?? Na hiyo batch 3 yatoka lini?
 
Yani novemba 30 ndo iwe mwisho wa kusubmit rufaa au?? Na hiyo batch 3 yatoka lini?
Tusubiri tangazo la TCU ila kama nilivyosikia Nov 30 rufaa iwe imetolewa maamuzi na hiyo batch ya tatu itatoka pindi admission vyuoni na uhakiki utakapokamilika.
 
Tusubiri tangazo la TCU ila kama nilivyosikia Nov 30 rufaa iwe imetolewa maamuzi na hiyo batch ya tatu itatoka pindi admission vyuoni na uhakiki utakapokamilika.
wengne hatna pesa usajil tnafnyaj hi serkal itfkrie cie wngne tnaojcomesha wnyewe
 
Back
Top Bottom