HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

Jaman Kama kuna mwenye list ya majina ya waliopata mkopo katka chuo kikuu cha iringa.
Tafadhali naomba uyaweke hapa
Maana najiskia kufa kufa tu
 
Hii hatari,kwahiyo mpaka majina wabandike chuoni?Inamaana yale majina 20000 wamepeleka direct chuoni?Haya ni mateso sasa!!!Basi mwenye majina ya MUST nayaomba..
 
Jaman mimi nlipewa loan breakdown online lakin sasa sioni tena naambiwa ur not alocated loan ufafanuzi plz kwa anae jua
 
nawaombeni waungwana wa UDOM muniangalizie ni asilimia ngapi ya mkopo uliopatikana ktk jina la Mohamed Masoud Mohammed ... tafadhalini waungwana ...
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom