HESLB ni kielelezo cha wababaishaji

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,097
103,359
Miongozo walioitoa hivi juzi inaonyesha kuwa maombi ya mikopo kwa elimu ya juu 2016/2017 kuanzia 27/6/2016 hadi tarehe 31/7/2016. Maajabu ukiingia kwenye website yao kufanya maombi unakutana na tangazo kwamba ''we have not opened our online Loan Application System for 2016/2017. We will notify members of the public when the system is opened.
Please wait !'' wakimaanisha ''Hatujaanza Kupokea maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka 2016/2017. Tutaujulisha umma tukianza kupokea.
Tafadhali Subiri ! ''
Tanzania ni nchi ya ubabaishaji sana
 
afu daah asee yan hawa watu wababaishaji ad shida wametunyima mikopo watoto yatima tena wawakulima wakawapa hao watoto wao na watoto wa wakubwa wenzao af then watu wanalopoka et tuwe wazalendo tutakuaje wazalendo wakati nchi yenyewe haitufanyii uzalendo..........???
 
Back
Top Bottom