OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,170
- 103,637
Miongozo walioitoa hivi juzi inaonyesha kuwa maombi ya mikopo kwa elimu ya juu 2016/2017 kuanzia 27/6/2016 hadi tarehe 31/7/2016. Maajabu ukiingia kwenye website yao kufanya maombi unakutana na tangazo kwamba ''we have not opened our online Loan Application System for 2016/2017. We will notify members of the public when the system is opened.
Please wait !'' wakimaanisha ''Hatujaanza Kupokea maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka 2016/2017. Tutaujulisha umma tukianza kupokea.
Tafadhali Subiri ! ''
Tanzania ni nchi ya ubabaishaji sana
Please wait !'' wakimaanisha ''Hatujaanza Kupokea maombi ya mkopo kwa njia ya mtandao kwa mwaka 2016/2017. Tutaujulisha umma tukianza kupokea.
Tafadhali Subiri ! ''
Tanzania ni nchi ya ubabaishaji sana