HESLB na uombaji wa mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,364
73,955
Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita.

Point yangu ni kuwa:

1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh

2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua utaingia program gani kabla ya kupata matokeo ya mitihani... kuamua kama ni afya, ehandisi etc. Ilibidi wasubiri mitihani itoke.

3..................
 
1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh....
Jitahidi kwenda na mfumo ndg yng....!Walio kutangulia ilikuwa hivyo hivyo,na wamefata kama ilivyo...!Kama 30,000/= itakuuma sana basi baki nayo na usubirie matokeo ya kidato cha sita.Kwa taharifa yako gharama ya kuomba mkopo na kufanya process nzima mpaka unatuma posta kwa EMS,inakula c chini ya 100,000.Wengine wanatumia zaidi kulingana na geographical location pia na facilities zinazowazunguka.
 
ndugu yangu ngoja nichukue nafasi hii kukupongeza kwa kuutumia muda wako japo kufikiria kitu ambacho ni fact na kina ukweli ndani yake.
teh serikali buana
 
teh hatuwezi kupata mawazo mapya bwana kaka kama tutakuwa na utamaduni wa kufikiria kuwa kilichopo ndio ALFA na OMEGA. Dunia isingefika hapa ilipo bwana ndugu.
 
Jitahidi kwenda na mfumo ndg yng....!Walio kutangulia ilikuwa hivyo hivyo,na wamefata kama ilivyo...!Kama 30,000/= itakuuma sana basi baki nayo na usubirie matokeo ya kidato cha sita.Kwa taharifa yako gharama ya kuomba mkopo na kufanya process nzima mpaka unatuma posta kwa EMS,inakula c chini ya 100,000.Wengine wanatumia zaidi kulingana na geographical location pia na facilities zinazowazunguka.
Wenye akili kubwa tumemuelewa anachoongelea, HESLB imetumika kama reference tu
 
Jitahidi kwenda na mfumo ndg yng....!Walio kutangulia ilikuwa hivyo hivyo,na wamefata kama ilivyo...!Kama 30,000/= itakuuma sana basi baki nayo na usubirie matokeo ya kidato cha sita.Kwa taharifa yako gharama ya kuomba mkopo na kufanya process nzima mpaka unatuma posta kwa EMS,inakula c chini ya 100,000.Wengine wanatumia zaidi kulingana na geographical location pia na facilities zinazowazunguka.
Katunzi usiwe takataka. Wahaya ni watu smart! Usiwaaibishe! Tunajenga hoja ya haki, siyo kwa vile waliotangulia wamefanya hivyo!
 
Umeusema ukweli kabisa,hatujawahi kuwa takataka kwa kupinga yasiyo pingika...!Aliye shika mpini atabaki kuwa mshindi cku zote.sasa uliye shika makali utaiyona shughuri yake....!
 
Ukiwa mjanja hats huwezi kuliwa 30 yako.. Kama dirisha linafungwa tarehe 31 August na mda huo matokeo yatakuwa yashatoka wenda siku 5 au zaidi toka yatoke nami ndo natumia siku hzohzo, kikubwa ni kuandaa nyaraka mapema then hyo siku naapload tu.
Usimshauri MTU atumie gharama kuomba mkopo mapema hali ya kuwa matokeo yake hayaamini..
 
Hizo system zina timing ni balaa...!Hazifanyi makosa.
 
Ukiwa mjanja hats huwezi kuliwa 30 yako.. Kama dirisha linafungwa tarehe 31 August na mda huo matokeo yatakuwa yashatoka wenda siku 5 au zaidi toka yatoke nami ndo natumia siku hzohzo, kikubwa ni kuandaa nyaraka mapema then hyo siku naapload tu.
Usimshauri MTU atumie gharama kuomba mkopo mapema hali ya kuwa matokeo yake hayaamini..
Kweli mkuu shida ni kuandaa Doc mapemaa sanaa...!! Akikisha zina mihuri husika na pia Zimekuwa Verified na Mwanasheria hapo inakuwa rahisi...!! Pia Infomartion zote za wazazi ziwe tayariii ikiwa Picha zao incase wamefariki hati zao za vifo na kingine kama Unaenda Jeshini fanya mapema tu maana ukitegemea ukiruhusiwa ndani ya zile siku 5 uapply chuo na kuomba mkopo yani utafelii tuu lazimaa..
 
Kwa hakimu hakuna shida maana ukienda kule unawaachia hela yao,
Ila for now unamake sure cht cha kuzlw kipo verified na RITA, passport zako na mdhamini, na nyaraka zingine kama zinahitajika..
 
Nadhani si haki bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwalipisha/kuwalazimisha wanafunzi kuomba mikopo kabla ya matokeo ya mitihani ya kidato cha sita.

Point yangu ni kuwa:

1. Kama mtu amefeli, hana sifa za kuomba, kwanini alipe hizo 30,000 Tsh

2. Mkopo una vigezo, mfano Programu.. huwezi kujua utaingia program gani kabla ya kupata matokeo ya mitihani... kuamua kama ni afya, ehandisi etc. Ilibidi wasubiri mitihani itoke.

3..................
Hata mimi ilinisumbua kipindi kile.
 
Wale wote wanaotaka kuomba mkopo (HESLB) Na wanaotaka kuomba vyuo mbali mbali.
- Nipo kuwasaidia wale wote wenye uhitaji wa ku apply mkopo na chuo. Au kuwaongoza hatua baada ya hatua jinsi ya ku apply.
- Vyote hivyo kuanzia mwanzo mpaka kukamilika nakufanyia kwa bei poa ya elfu tano tu (5,000/= tu)
- Huku nikikupatia na username pamoja na password zako kujihakikishia nilichofany na kuangalia account yko pale itakapohitajika.
- Huduma hii ni kwa wote/popote ulipo ndani ya Tanzania hii. Kila kitu kitaenda sawa. Maan nimepata maswali mengi kwa walio mikoani.
- Nitafute whatsapp au sms za kawaida kupitia namba hizi 0734131743.
- Vitu vyote vinavyohitajika wakati wa uombaji mkopo na chuo nitakueleza ukinitafuta kupitia namba izo apo.
NYOTE MNAKARIBISHWA
 
Unaogopa ku-Risk 30,000 kwa faida ya kupata pesa mala 30 yake aisee.

Kuhusu program unayoenda kusoma haihusiki popote kwenye maombi ya mkopo itahusika kwa wao wenyewe watapofika hatua ya kuangalia Priority Programs.
 
Back
Top Bottom