HESLB na hadithi za sungura na fisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HESLB na hadithi za sungura na fisi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by aseenga, Sep 19, 2012.

 1. aseenga

  aseenga Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  Watanzania kwa asili yetu ni wapole, na kwa muda mrefu viongozi na watawala wa idara mbalimbali za serekali wamekua wakitumia udhaifu huo kutuonea.Ni tangu jana kuanzia mkurugenzi wa bodi ya mikopo alipotangaza kutolewa kwa majina ya wanafunzi walopata mkopo lakini cha kushangaza mpaka hivi sasa ukiingia kwenye website yao hakuna mabadiliko yoyote. Swali la kujiuliza ni kwamba kulikua na sababu gani ya huyo muheshimiwa kutangaza hayo matokeo kabla ya kujipanga, je alitaka kumuonyesha either rais, waziri au wananchi kwamba yupo on tym or? tumeshachoka kusubiri hayo matokeo na vyuo vingine vimeshafunguliwa na watu wameshindwa kwenda kufanya registration coz of them. naishia hapa kwanza.:flypig:
   
Loading...