HESLB mjuzi wa hili atoe msaada ata kwa pesa watoto wa wakulma na mamantlie wanalia

Marnah

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,124
301
Salaam Waheshimiwa,,...kama kuna yoyote mjuzi au mwenye ufaham zaidi juu ya suala zima la kuwasaidia hawa watoto namna ya ujazaji wao wa mkopo via internet atoe namba yake,,....atalipwa awajazie hawa wahanga maana ni kilio cha watoto wa wakulima na wa mamantilie,,,,,,,while others they are continour to enjoy the National Cake Of Their Country,,...!!
 
0787639400 kama upo serious bt mie npo gongo la mboto kwa aliye huku antafute ntamfayia fair tu.,mie yangu natuma kesho.
 
0787639400 kama upo serious bt mie npo gongo la mboto kwa aliye huku antafute ntamfayia fair tu.,mie yangu natuma kesho.

ahsante sana Mungu akunyooshee mambo yako.....kesho watawatafuteni nshawapa no
 
0787639400 kama upo serious bt mie npo gongo la mboto kwa aliye huku antafute ntamfayia fair tu.,mie yangu natuma kesho.

ahsante sana Mungu akunyooshee mambo yako.....will keep a call
 
Thanks alot Guys for the cares......ur so kind....,,May God be on both of U
 
Tayari nimeshamsaidia ila ajiamini kama mimi nilivyomuamini na kumfanyia kazi yake usiku wa manane huku nikimuacha mke wangu kitandani akipigwa na baridi pasipo kukumbatiwa. :lol:
shukrani sana mpendwa.........Mungu akunyooshee mambo yako.....they will call u jaman
 
Back
Top Bottom