Ziltan
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 2,649
- 6,832
Nasikitika leo ni siku ya 110 tangu nifanye application online loan REFUND,
Nikaahidiwa ndani ya siku 90 napata hela yangu,
Sasa shida ni nini hadi sasa kimya tu.
Wakubw mnaohusika kweli siku 90 zote hamjaweza fanyia kazi, au kuna shida gani?
Wadau naombeni ushauri nini cha kufanya niweze kufanikisha maana naona kama taarifa zangu hazijafika labda.