HESLB loan allocation 2020/21: ZIMESHAANZA TEMBELEA ACCOUNT YAKO CHAP

Inaonekana sio kipaumbele Chao kwa mwaka huu,Mana graduates wengi wa ualimu na Hizo fani za afya wapo mtaani hawana ajira na wanadaiwa fedha nyingi sana
sio kipaumbele kivip kabla ya kuomba huwa wanatoa vipaumbele na kipaumbele chao mwaka huu ya kwanza ilikuwa ni afya na ya pili ualimu wa sayansi ambao haya makundi almost yote yameambulia BOOM tu
 
wadogo zetu wa afya nawaambieni...........akufukuzae siku zote hakwambii toka..........jiulizeni tu yaan leo hii wanafunzi wa sheria na kozi zisizokuwa za afya wanapata mkopo na wanafunzi wa afya karibia 85% wanakosa mkopo..........kuna kijana mmoja humu amewahi sema afya kwa sasa ni ualimu uliochangamka.

Mtaani huku madaktari ni wengi sana na hali ni mbaya sana.........mwenye akili ndogo tu baada ya batch hiyo ya kwanza alitambua kitu.

Wadogo zetu wengi watashindwa kwenda vyuoni mwaka huu hasa hawa watoto wa mkulima.....ada ni 7m then unapewa boom tu.....inasikitisha sana.
 
Kwa wanaoelewa hii mikopo vizuri;
kuna mtoto kanitumia eti kapata mkopo wa 26.7% hivyo anaomba achangiwe walau ifike 70% ili aweze kujikimu huko Chuoni.
Hii ikoje; kwani sijawahi kuona mtu akapata mkopo 26.7% Je hiyo ni kweli au kadanganya?
Nimezoea kuona 100%/80%/60%/40% Sijawahi kuona 26.7???
 
Mchangie mkuu, hizo percent hazitoshi kabisa
Kwa wanaoelewa hii mikopo vizuri;
kuna mtoto kanitumia eti kapata mkopo wa 26.7% hivyo anaomba achangiwe walau ifike 70% ili aweze kujikimu huko Chuoni.
Hii ikoje; kwani sijawahi kuona mtu akapata mkopo 26.7% Je hiyo ni kweli au kadanganya?
 
Sasa apewe mkopo mtu ambaye kasoma English medium, secondary ada 5m halafu kuna aliesoma kata tangu vidudu akose ni haki kweli
Hata ao waliosoma kata tangu vidudu awajapewa

Mambo yame badilika Hali mbaya
 
wadogo zetu wa afya nawaambieni...........akufukuzae siku zote hakwambii toka..........jiulizeni tu yaan leo hii wanafunzi wa sheria na kozi zisizokuwa za afya wanapata mkopo na wanafunzi wa afya karibia 85% wanakosa mkopo..........kuna kijana mmoja humu amewahi sema afya kwa sasa ni ualimu uliochangamka.

Mtaani huku madaktari ni wengi sana na hali ni mbaya sana.........mwenye akili ndogo tu baada ya batch hiyo ya kwanza alitambua kitu.

Wadogo zetu wengi watashindwa kwenda vyuoni mwaka huu hasa hawa watoto wa mkulima.....ada ni 7m then unapewa boom tu.....inasikitisha sana.
😂😂😂😂Akuna course iliyopewa mkopo...

Ebu kabla ujaongea fanya research ni kwamba course zote wanafunz wamepew boom kwa course za afya wamepew boom tu ambalo ni 2660500 bila ada

Na kwa course nyingn wamepew ada 400500 na boom ambalo ni 2099500 so total kwao ni 2500000 less than total amount payed kwa wanafunzi wa afya

So may be serikal aina Hela cause haijawai kutokea
 
Kwa wanaoelewa hii mikopo vizuri;
kuna mtoto kanitumia eti kapata mkopo wa 26.7% hivyo anaomba achangiwe walau ifike 70% ili aweze kujikimu huko Chuoni.
Hii ikoje; kwani sijawahi kuona mtu akapata mkopo 26.7% Je hiyo ni kweli au kadanganya?
Nimezoea kuona 100%/80%/60%/40% Sijawahi kuona 26.7???
Mchangie tu ana kwambia ukwel ndo Hali ilivyo kaka 😃😃😃
 
😂😂😂😂Akuna course iliyopewa mkopo...

Ebu kabla ujaongea fanya research ni kwamba course zote wanafunz wamepew boom kwa course za afya wamepew boom tu ambalo ni 2660500 bila ada

Na kwa course nyingn wamepew ada 400500 na boom ambalo ni 2099500 so total kwao ni 2500000 less than total amount payed kwa wanafunzi wa afya

So may be serikal aina Hela au Ina mpango wake ambao atufaham
20211018_140833.png
20211018_140717.png
 
Kwa wanaoelewa hii mikopo vizuri;
kuna mtoto kanitumia eti kapata mkopo wa 26.7% hivyo anaomba achangiwe walau ifike 70% ili aweze kujikimu huko Chuoni.
Hii ikoje; kwani sijawahi kuona mtu akapata mkopo 26.7% Je hiyo ni kweli au kadanganya?
Nimezoea kuona 100%/80%/60%/40% Sijawahi kuona 26.7???
Mkuu 70% tumepata ivo
 
Back
Top Bottom