mkuu wa vilaza
Senior Member
- Apr 25, 2015
- 192
- 85
Nikiwa kama mhanga wa kukosa mkopo na faculty yangu ni priority nimefika bodi ya mikopo leo asubuhi na mapema nikaweza kuwaeleza tatizo wakaniambia sikusaini fomu hivyo nikaenda kwa anayehusika na kuhifadhi document akachukua fomu yangu na lack enough imesainiwa hivyo nikaambiwa nisubiri mkopo nitapata....
ushauri kwa ambao hawajapata na kozi zao ni priority nenda bodi ya mikopo yaweza ikawa kuna matatizo kwenye fomu ili ujirizishe usikae jamiiforums ukilalamika umekosa uku ujui unafanya unakosa ni nini??....
kwa mfano form 6 kama umemaliza kuanzia 2012 kushuka chini sidhani kama mnapata mkopo so it's better kujua tatizo before blaming somebody...
mkuu wa vilaza
ni jina tuu don't judge

Last edited by a moderator: