HESLB Kuappeal

Najiona Mimi

Member
Aug 15, 2020
52
125
Kwa wale wenye uzoefu katika suala la kuappeal emu tusaidiane.

Mimi mbona nikijaribu kulogin kwenye account yang inakubal kuloig lakin haioneshi distribution ya mkopo wangu.

Maana nilipata mkopo ila nataka niappeal ili waniongezee maana naona mkopo hautoshi isitoshe nna mzaz moja ambaye ni mjasiriamali mdogo (mama).
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,476
2,000
Kwa wale wenye uzoefu katika suala la kuappeal emu tusaidiane.
Mimi mbona nikijaribu kulogin kwenye account yang inakubal kuloig lakin haioneshi distribution ya mkopo wang
Maana nilipata mkopo ila nataka niappeal ili waniongezee maana naona mkopo hautoshi isitoshe nna mzaz moja ambaye ni mjasiriamali mdogo(mama).
Ushauri nnaokupa.

Kama unaweza kutumia mkopo unao pata walau kusoma hata kama ni kwa shida, basi achana na hilo zoezi mara moja.

Yani acha kabisa haraka iwezekanavyo!!

NB: Leo hutanielewa ila huko badae utaikumbuka hii posti.
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
17,476
2,000
Kivp kk?mbona nasikia ukikosa unabak na asilimia zako zilezile
Sijasema ukiomba alafu ukikosa basi unafutiwa mkopo. No sijasema hivyo. Nnachosema ni kama una uwezo wa kusoma hata kama ni kwa shida na huo mkopo basi acha hicho unachotaka kufanya.

Leo hutanielewa ila siku ukimaliza chuo utaikumbuka hii posti.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom