HESLB ingefanya mambo haya hakika malalamiko yangepungua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HESLB ingefanya mambo haya hakika malalamiko yangepungua.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Oct 23, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wangewafadhili wanafunzi wote wanaodahiliwa vyuon kwa 100% kwenye tution fees,accomodation na stationary thn kula ndio mtu ajigharamikie mwenyewe,nina uhakika hamna mzazi ambae angekubali mwanae afe na njaa huko vyuon so wangemudu kuwapa pesa za kula.au nyie wadau mnalionaje hilo wazo?
   
Loading...