HESLB imeongeza pesa ya field kwa wanufaika wa awali Tsh 60000/=???

Smkwawa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
651
964
kumekuapo na tetesi kati ya wanavyuo mbalimbali wakidai bodi ya mikopo imeongezea pesa kwa wanufaika wa awali pesa za field shilingi elfu 60 kwa kila mnufaika wa awali.. huku wengine wakidai ni zaidi ya pesa hiyo katika website yao Higher Education Students' Loans Board -HESLB hawajaandika chochote kuhusu taarifa hii? kuna ukweli kuhusu suala hili tafadhari ufafanuzi mwenye kujua suala hili
 
umeshaangalia katika account yako ya HESLB? maana wanavyuo wengi walionufaika na mikopo mnaifungua mkiwa mnaomba mikopo mkipata huwa hamtembelei kuona taarifa zenu kuna rafiki mmoja yupo pale mwenge cathoric university ambaye anajiandaa kwenda field mwishoni wa mwezi huu mwanzo alikua anapata Tsh 190000/= pesa ya BTP naweza iita field kaongezewa Tsh 60000/= na mpaka sasa wapo wanasaini kasaini Tsh 250000/= sijajuaa kama ni kwa wote au wengine wamepewa zaidi maana hayo hakuniambia jaribu kuangalia account yako au uwapigie simu bodi ya mkopo.
 
Back
Top Bottom