HESLB bado hawajatoa VRF kwenye salary slip

Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo mh Raisi aliagiza zifutwe.

Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt . Kama ilikua siasa tuu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
Julai tayari?
 
Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.

Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.

Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuz

Yaani tuzidi kupaza sauti Hawa watu wauwaji .
Nenda kwenye mfumo wa Bodi ya Mikopo utaona deni lako halisi, achana na salary slip
 
Kuna kigugumizi gani kwa bodi ya mkopo HESLB kutoa tozo za VRF ambazo Mh Rais aliagiza zifutwe.

Mpaka muda huu salary slip za mwezi July 2021 bado zinasoma deni la awali ambalo lina VRF na penalt.

Kama ilikua siasa tu tuambiwe na kama HESLB wamegoma kuzitoa pia tuambiwe.
Watoe majibu
 
Mimi salary slip inaonesha nadaiwa 12mil na laki 7,, na body ni 11 mil na laki 3

Sijui wanakwama wapi hawa taarifa za body kuendana na salary slip
upo sahihi kabisa

bodi wanaonyesha nadaiwa 19 million
salary slip 25 million

difference of 6 million
 
Bodi ya mikopo inabd ifanye update ya deni kwenye salary slip kwa kupeleka taarifa utumishi

Mie nadaiwa 10m ilaaa slip ni 16m
 
Bodi ya mikopo inabd ifanye update ya deni kwenye salary slip kwa kupeleka taarifa utumishi

Mie nadaiwa 10m ilaaa slip ni 16m
Kwanini wengine deni la bodi limeongezeka kwenye mfumo?
Kwenye mfumo deni kubwa na kwenye slip deni dogo ingawa VRF imefutwa?
 
Back
Top Bottom