heshima za mwisho kwa aliyekuwa RPC Mwanza.

viongozi wa dini huzika mwili na wala si roho, mwili hauna thamani baada ya uhai wa mtu kumtoka na ndio maana unaishia kuoza na hatimaye kuwa mavumbi.

ndo mana ukawa daddy yangu, una hekima sana. pokea malike yangu ya kufwa mutu!!!!!!
 
Wastage of government funds! Why don't they just take his body to KIA then from there drive his body to Marangu? Why should they take him to Dar then MOSHI? What a pitty country...

iam also suprised by that route! doesnt make sense kabisa.
 
yeah,nipo mza but sikupata fursa ya kwenda make ofisi nzima imekwenda huko mie tu ndo mebaki kulinda ofisî. ila naweza kushuhudia umati wa watu na kusikiliza kwa mbali sana make nipo orofani!

mhh...na wewe afande nn???!!
 
IMG_20121015_141755.jpg IMG_20121015_141846.jpg
 
View attachment 68195
Mkuu charminglady na huyo mwenye picha hapo juu atakuwepo..kama atakuwepo wallah na kuja

CHADEMA wametuma mwakilishi, amemsifia Kamanda Barlow, na kuwasihi wanachi watumie dhana ya NDUVU YA UMMA kuwafichua waliomuua na kuendeleza ushirikiano na Jeshi la Polisi Mwanza, kwani hawana ugomvi nalo.

Lakini aliwashangaza wengi kwani wakati Chama cha mapinduzi kisicho na mbunge hapa Mwanza wa kuchaguliwa kimetoa 1,000,000/- kama rambi rambi, Chadema yenye wabunge wawili wa kuchaguliwa hawajatoa hata jero. Hii ilisababisha minung'uno kwa waliohudhuria, kwani ambaye hakuwasilisha rambi rambi ni mwakilishi wa CHADEMA.
 
Attachments

  • DSC_0000626.jpg
    DSC_0000626.jpg
    38.2 KB · Views: 36
sasa ni watu gani hao ambao ofisi nzima wanaenda kwenye mazishi ya RPC!??
hahahah poti charminglady!
shkamoo afande...

kwanza inategemea tupo wangapi hapa ofisini, pili ofisi yetu ina uhusiano gani na marehemu/ofisi yake. si lazima niwe/tuwe maafande!
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA wametuma mwakilishi, amemsifia Kamanda Barlow, na kuwasihi wanachi watumie dhana ya NDUVU YA UMMA kuwafichua waliomuua na kuendeleza ushirikiano na Jeshi la Polisi Mwanza, kwani hawana ugomvi nalo.

Lakini aliwashangaza wengi kwani wakati Chama cha mapinduzi kisicho na mbunge hapa Mwanza wa kuchaguliwa kimetoa 1,000,000/- kama rambi rambi, Chadema yenye wabunge wawili wa kuchaguliwa hawajatoa hata jero. Hii ilisababisha minung'uno kwa waliohudhuria, kwani ambaye hakuwasilisha rambi rambi ni mwakilishi wa CHADEMA.

Kwani hizo pesa Chadema hata wangetoa tilioni moja angefufuka na kwa manufaa ya nani? hao wa CCM wametoa wapi zaidi ya pesa zetu wenyewe? Kumbuka kutoa pesa kwenye msiba si sifa .........angekuwa hana uwezo sawa alishaiba pesa ngapi ....................? Acha akapumzike tu.

Kwanza kunauwezekano amekufa hata bila kuoga toka alipotoka kudo
 
Mbona Mke wake na watoto hawatajwi wala sijaona maali wanaomboleza!mmm ebu nijulisheni mnieleweshe

kweli! au alikua anaishi bila ndoa? maana wasiokua na ndoa huwa hawatajwi kwenye matukio,wanaombolezaga kimya kimya!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom