Heshima yako mkuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heshima yako mkuu.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Eng Mayeye, May 24, 2011.

 1. E

  Eng Mayeye Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahofia sana mfumo wa SIASA tuliouanzisha hivi sasa wa kukuza MIGOGORO na MPASUKO ktk jamii na kuitumia kama MITAJI yetu ya siasa ktk majukwaa ili tupate UMAARUFU. Hatuna fikra kama tukijaaliwa kushika HATAMU tutaiongoza jamii hii hii na huu kuwa MSUMARI WA MOTO kwetu pia.
   
 2. delabuta

  delabuta Senior Member

  #2
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna hoja umechanganyikiwa kaa ufikiri ndio uje tena.
   
 3. delabuta

  delabuta Senior Member

  #3
  May 24, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nyie wenye amani ndio mnaokula milo mitatu kwa siku sisi hata moja ni shida amani iko wapi?
   
 4. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mara umjibu, mara umkosoe! Sasa kama hana hoja si ungeacha kumjibu? Suala la kupata mlo mmoja syo lako peke yako. Afterall, wewe si mmoja wa hao wa mlo mmoja wa siku. Acha kuwakoga!
   
Loading...