heshima kwenu wataalaam,ndugu yenu nimekwama

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,296
13,243
Naombeni msaada,natumia window 7, kwenye ki lap top changu,cha ajabu niki install safari apple browers inashindwa kufunguka inaleta sms hii'untitled', it fails to contract with www.apple.com.lakini kwenye desk top inakubali!NAWASILISHA
 
Naombeni msaada,natumia window 7, kwenye ki lap top changu,cha ajabu niki install safari apple browers inashindwa kufunguka inaleta sms hii'untitled', it fails to contract with <a href="http://www.apple.com.lakini" target="_blank">www.apple.com.lakini</a> kwenye desk top inakubali!NAWASILISHA
<br />
<br />
Cheki kama unatumia proxy server. Kama ndiyo unaitaji kuweka hizo address kwny hiyo browser yako.
 
ndio ilivyo hiyo lakini ukifungua nyingine zinafunguka vizuri tu

Back
Top Bottom