white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,219
- 13,066
Naombeni msaada,natumia window 7, kwenye ki lap top changu,cha ajabu niki install safari apple browers inashindwa kufunguka inaleta sms hii'untitled', it fails to contract with www.apple.com.lakini kwenye desk top inakubali!NAWASILISHA