HESABU

Wacha kabisa japo eti siku hizi namfundishaga Mjomba ako hapa nyumbani. 😀😀😀
Jamaa yangu mmoja simuyu aniambia ye anafundisha masomo yote English, maarifa ya jamii,stadi za kazi,Swahili, sayansi kimu nk. yote kabobea, ndokama wewe nakuona apo nyumbani ulivyobobea masomo yote unawaelekeza tu
 
2
Mstari wa kwanza, wapili na wa tatu hamna mahusiano as long hamna alama yoyote(+ or whatever inayoziunganisha, zinajitegemea....
 
kalete hesabu za wana mahesabu sio hizo za majority hata tuliokimbia shule tunajibu
 
Back
Top Bottom