ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,407
- 3,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo lazima ucheze na "magazijuto" darasa la nne B la zamani mtani we hukumbuki iyo formulaDuuh. Mtani Sanchez magoli nasikia kwako hesabu huwa inapanda. 😅😅😅
12 mtani japokuwa nilipepurusha bendera ya taifa kwenye somo iloDuuh. Mtani Sanchez magoli nasikia kwako hesabu huwa inapanda. 😅😅😅
Nimecheka kwa sauti. Lolhapo lazima ucheze na "magazijuto" darasa la nne B la zamani mtani we hukumbuki iyo formula
Tena nahisi we mtani ulikuwa ukikutana nayale mahesabu ya maumbo msambamba nk. alafu unaambiwa tafuta thamani ya " a" sijui ilikuwajeNimecheka kwa sauti. Lol
Udsm first year kuna somo mmoja la quantitave research nilikukutana nalo nikiwa first year lilinitesaga sana mtani mpaka nikarudi wa Tisa sapua, Mimi najua kuhesabu pesa tu mtani, ukiingiza formula tu umeniweza.
Wacha kabisa japo eti siku hizi nawafundishaga Wajomba zako hapa nyumbani. 😀😀😀Tena nahisi we mtani ulikuwa ukikutana nayale mahesabu ya maumbo msambamba nk. alafu unaambiwa tafuta thamani ya " a" sijui ilikuwaje