HESABU ZINAKATAA .......Inakuaje sasa wandugu au changa la macho??

SAWEBOY

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
241
173
Wana JF,
poleni na majukumu ya kujenga taifa na familia zetu kwa ujumla.

Ninaomba ushauri wakuu,

Katika hali isiyo ya kawaida kuna dada mmoja anadai kuwa jamaa yake wa karibu kampa kibendi . Kinachoshangaza ni kuwa siku walipo-meet for game Bibie siku hiyo alikuwa off-likizo (Zile likizo zao) but ndo alikuwa anamalizia siku hiyo.Next day, jamaa yake akala mzigo, na siku iliyofuata. Wote walikuwa confortable coz hazikuwa siku za hatari.

Baada ya hapo jamaa yake akaingia mkoani for 3 month now, hawajaonana tena but bibie anadai toka siku ile haja-do tena, na ana mimba ya huyo msela!

Kinachoshangaza ni kuwa bibie off-likizo ni siku 4, ya tano na sita jamaa kala mzigo, sasa ina maana mimba inaweza shika siku ya sita au soon baada ya kumaliza MP? I mean hata kabla ya siku ya 9 to 16 or 17? Au bibie kaamua kumuuzia kesi jamaa alee hiyo mimba?

NB: Hawakutumia kinga, hilo lipo wazi, plse tunaomba ushauri wenu wakuu wa haya masuala ya privacy!

Natangulisha shukrani za dhati.
 
Hili swali nishalichoka.
Unauliza siku ya sita baada ya kumaliza mp au siku ya sita tangu aanze mp?
Kama ni siku ya 6 tangu amalize jibu ni mimba anayo (4 alizokuwa mp+6=10), Maana mimba ni siku ya 10-16 tangu kuanza mp.
 
Mpendwa Husninyo,

Asante kwa maelezo, but ni siku ya sita tangu aanze MP, sasa hapo ndo hesabu zinakuwa ngumu! ingekuwa 6 tangu amalize MP hiyo inaeleweka vema.
 
Well said Husninyo...:A S 39:

mpe hongera zake rafiki yako hadi pale DNA itakapobadili muelekeo,huyo aweza kuwa mwanae!
 
Mpendwa Husninyo,

Asante kwa maelezo, but ni siku ya sita tangu aanze MP, sasa hapo ndo hesabu zinakuwa ngumu! ingekuwa 6 tangu amalize MP hiyo inaeleweka vema.

Hesabu zinakuwa ngumu kwasababu hayuko tayari kuwa na mtoto....kama aliweza kuchomeka kavu ye atimize tu majukumu yake....imani aliyokuwa nayo wakati ule awe nayo sasa.....:smile-big:
 
Hesabu zinakuwa ngumu kwasababu hayuko tayari kuwa na mtoto....kama aliweza kuchomeka kavu ye atimize tu majukumu yake....imani aliyokuwa nato wakati ule awe nayo sasa.....:smile-big:

Sawa mkuu, hongera nitamfikishia labda tu hilo DNA yeye alikua hajui kama kuna hivo vipimo! lakini nitamfikishia salamu mpendwa!
 
Inawezekana huyo dada ana mzunguko mfupi.. yaani wa siku 20 au 21. Siku za kushika mimba zinatofautiana kati ya mwanamke na mwanamke. Wengine wanapata ovulation wakiwa kwenye siku zao. Kwa hiyo si ajabu kweli mimba ni ya jamaa yako.
 
Da mayasa bana dah, hapo umenikuna.
Ningekuwa naweza ninge-printi hayo maneno yako nimpelekee huyo jamaa ili asome mwenyewe live aone jinsi gani alivyo-mweupe ktk kujua mambo.

Anyway, shukrani Madam-Mayasa, nitafikisha ujumbe mkuu.
 
Pia mbegu nasikia zina uwezo wa kukaa kwa masaa 72 hasa zenye sex ya kike na pia anaweza akawa kakokea kuhesabu siku zake
 
Pia mbegu nasikia zina uwezo wa kukaa kwa masaa 72 hasa zenye sex ya kike na pia anaweza akawa kakokea kuhesabu siku zake

Lady Gaga heshima yako shosti!,
Thankx lkni hakukosea kuhesabu siku coz jamaa ali-prove kweli bibie akiwe MP, na hadi anamaliza wapo wote ila msela siku hiyo hakukamua mizigo but next day ishu ilikuwa clean, then jamaa alikamua 2 days, siku ya 5 & 6. Labda kama sperm zinakaa 72 hrs hapo sawa Mammy!
 
Sewa-boy uliwaomba radhi kinadada kwa kutafuta changudoa humu kwenye thread yako ya mwanzo ??
 
natoa angalizo kwanza....hata wakati damu ya hedhi inatoka, wanazuoni wanasema upo uwezekano japo ni asilimia ndogo sana sana kwa mwanamke kushika ujauzito...binafsi sishangai kushika ujauzito siku ya pili baada ya kutoka mwezini
 
Hilo linahitaji msaada wa kidakitari zaidi....
ila nina swali, kwa nini wadada siku hizi wanapenda sana kusakizia watu mimba? hivi hawaoni aibu kuumbuka na siku hizi hivi kuna vipimo vya DNA?
 
Da mayasa bana dah, hapo umenikuna.
Ningekuwa naweza ninge-printi hayo maneno yako nimpelekee huyo jamaa ili asome mwenyewe live aone jinsi gani alivyo-mweupe ktk kujua mambo.

Anyway, shukrani Madam-Mayasa, nitafikisha ujumbe mkuu.

Kama hakutumia kinga mtoto wake huyo. Hayo mahesabu yangekuwa yana work always kusingekuwa na unwanted pregnancies.
 
Inawezekana hawasakizii kwani hao wanaume hawaku do nao? Unaweza kukutana na mtu barabarani ukamwambia nina mimba yako? If they had sex then that is the product (though was not in plan)

Hilo linahitaji msaada wa kidakitari zaidi....
ila nina swali, kwa nini wadada siku hizi wanapenda sana kusakizia watu mimba? hivi hawaoni aibu kuumbuka na siku hizi hivi kuna vipimo vya DNA?
 
Hapo utakuta hamna haja hata ya DNA yaani huyo mtoto atatoka copy right kama yalomkuta mkuu wa polisi mstaafu vile!
 
Inawezekana hawasakizii kwani hao wanaume hawaku do nao? Unaweza kukutana na mtu barabarani ukamwambia nina mimba yako? If they had sex then that is the product (though was not in plan)

siyo kama haku-do naye..... na najua mpaka mtu amsingizie mtu mimba ni ame-do naye ma bila kinga...... ila kuna wimbi kubwa sana la wadada anakuwa na wakaka zaidi ya 1 lakini anachagua nani amsingizie mimba hata kama siyo yake, na matokeo yake wakienda kwenye vipimo wanakuta siyo.
 
Sewa-boy uliwaomba radhi kinadada kwa kutafuta changudoa humu kwenye thread yako ya mwanzo ??

Aaaaaaa mkuuu, umeshakuwa encyclopedia ya Jf au?? Ipotezee bwana we vipi mkuu? halafu unaniharibia jina wewe kila siku, naitwa Saweboy boy, kijana kutoka kibororoni upo hapo mkuu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom