Hesabu hazidanganyi: Ni kwanini Diamond kadanganya kafikisha views milioni 10 ndani ya siku saba?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??

ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30, november saa sita na dakika 17 mchana.

1607453163748.png

Kama video ilitoka tarehe 30 saa sita mchana basi siku ya saba iliisha jana tarehe 7 saa sita mchana

1607458635713.png

Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8 mida wa takribani saa sita na robo usiku, video iligonga views milioni 10 kwa hio, kulingana na jedwali la hapo juu ni siku ya nane

USHAURI:

Diamond Platnumz na media wasahishe taarifa zao ili kuendana na ukweli
 
Haijalishi lolote, ili mradi kaingiza pesa who cares! hata angesema kagonga views milion 10 ndani ya siku 3 poa tu
 
View attachment 1644901

Hata nikikaa kimya kwajili ya utaifa au kuwa shabiki wa diamond, ukweli inabidi unyooke, nyeupe iwe nyeupe na nyeusi iwe nyeusi, hakuna kupindisha, nisipo sema nani atasema??

ukiingia mtandao >> huu << , utaweza kujua muda ilipopandishwa video, tunaona ya kwamba video iliwekwa tarehe 30, november saa sita na dakika 17 mchana.

View attachment 1644892

Kama video ilitoka tarehe 30 saa sita mchana basi siku ya saba ilikuwa ni jana ilipofika 12:17 mchana

View attachment 1644895

Lakini matokeo yake video iligonga views milioni 10 Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8, Nakumbuka ilikuwa ni mida ya saa sita hivi usiku.

Sasa kw
Online channels zote ambazo zinaripoti karibia kila kitu kinachotokea mtandaoni wameandika siku saba,ila ww umeamua kubisha basi tufanya imetumia siku 8.
 
Kazi kweli kweli, Hata media wakiposti rangi nyeupe wakaandika nyekundu kuna viazi kama wewe mtaamini ni nyrkundu, Jiongeze mkuu, Tumia hio kitu katikati ya masikio
 
Online channel zaidi ya tatu za Youtube wameposti kitu kimoja still unaona uongo,sikukatazi wewe leo umeamua kubisha mimi sibishani na ww so tufanye siku 8.
 
Sawa mkuu, endelea kufata online tv bila kutumia akili yako, Heri wangeilipia ngombe ada ya shule
 
Ninachokushangaa zaidi unabishana na ulichokiandika mwenyewe,wakati majibu unayo na ushayaandika mwenyewe ila naona unataka kujikosesha ili upate wa kubishana nae.

Back
Top Bottom