Herufi za mwanzo za majina na mahusiano kuwa mazuri

Hahahaha si ajabu kuna mmoja tu ndio anatuharibia mkuu.
Aah na mmoja wa same name aisee almost anibake. Sijawahi kukimbia vile. Tena kwenye nyumba yetu. Alifadhiliwa akae kwa muda. Alipoona nimekimbia akajua ninekwisha na yeye alitoweka mpk kesho hata sura yake siikumbuki. Nilikua sijui grade 4. Muda sana. Nilikua na kamwili flexible na mwepesi ndo mana niliweza mchoropoka.
 
Dah kweli nyegezi mbaya sana,jamaa lilisahau yuko hapo kwa ufadhili, naamini angekuomba ungempa si eti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom