Herufi 'M' imetawala majina ya Watanzania

Ambakucha

JF-Expert Member
Aug 16, 2019
277
445
Wakuu, nimejaribu kufuatilia na kubaini kuwa, Waafrika, tena zaidi Wabongo, majina yetu ya asili mengi yametawaliwa na herufi M.

Mfano; Mkapa, Mrisho, Masawe, Mushi, Masanja, Mwakatobe, Mkude, Mbowe, Mrema, Mwakinyo, Mapunda, Mashinji, Masabuli, Makonda, Makamba n.k.

Hata mawaziri wetu ni M. Hamadi Masauni, Kassim Majaliwa, Ummy Mwalimu, Agostino Maiga, Phillip Mpango, Medadi Matogoro Kalemani, George Mkuchika, Jenista Mhagama, Luaga Mpina, Hussein Mwinyi, Harrison Mwakyembe, Makame Mbarawa Mnyaa, Angelina Mabula, Stella Manyanya.
Mawaziri waliopita, Mwigulu, Charles Mwijage, January Makamba.

Hata AG wetu ni George Masaju. Aliyekuwa CAG pia ni Mussa nk.

Katika mikoa 26 ya Bongo, 6 ni herufi M. Morogoro, Mtwara, Mbeya, Mwanza, Mara na Manyara. Iliyobaki imegawana herufi.

Nadhani kiasili kuna maana kwenye herufi M. Marais wetu watano, wanne wana herufi M. Mfano; Mzee Ali Hassan Mwinyi, Benjamini William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete na John Pombe Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu, nimejaribu kufuatilia na kubaini kuwa, Waafrika, tena zaidi Wabongo, majina yetu ya asili mengi yametawaliwa na herufi M.
Mfano; Mkapa, Mrisho, Masawe, Mushi, Masanja, Mwakatobe, Mkude, Mbowe, Mrema, Mwakinyo, Mapunda, Mashinji, Masabuli, Makonda, Makamba n.k.
Hata mawaziri wetu ni M. Hamadi Masauni, Kasim Majaliwa, Ummy Mwalimu, Agostino Maiga, Phillip Mpango, Medadi Matogoro Kalemani, George Mkuchika, Jenista Mhagama, Luaga Mpina, Hussein Mwinyi, Harrison Mwakyembe, Makame Mbarawa Mnyaa, Angelina Mabula, Stella Manyanya.
Mawaziri waliopita, Mwigulu, Charles Mwijage, January Makamba.
Hata AG wetu ni George Masaju. Aliyekuwa CAG pia ni Mussa nk.
Katika mikoa 26 ya Bongo, 6 ni herufi M. Morogoro, Mtwara, Mbeya, Mwanza, Mara na Manyara. Iliyobaki imegawana herufi.
Nadhani kiasili kuna maana kwenye herufi M. Marais wetu watano, wanne wana herufi M. Mfano; mzee Alli Hassan Mwinyi, Benjamini William Mkapa, Jakaya Mrisho Kikwete na John Pombe Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja waje wajuvi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom