Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,015
- 54,296
Hapa Chuo Kikuu cha Tiba Muhimbili hii kampuni imeweka mtambo wao wa kuchakata maji safi na salama kwa matumizi ya binadamu.
Nililoliona zuri aina ya ujio wao hasa upande wa bei ya hayo maji, ambapo kwa mara ya kwanza ukinunua maji kwa chupa zao unauziwa Tshs 800/=
Baada ya kutumia ukienda kujaza tena ujazo wa litre 1 unalipa Tshs 200/= tu
Upande wa glass zao kwa mara ya kwanza ukinunua ni Tshs 200/=
Unapokuwa na glass ukitaka kuongeza unalipa Tshs 100/=
Kampuni hii huduma zao wangezisambaza maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam
Ili tuone ushindani na ubunifu ukiwepo
Kwa sasa kampuni za kuchakata maji safi ni nyingi sana, zipo ambazo zinakuja zinapotea, zipo ambazo zaendelea kupambana.
Ingawa huduma inatolewa kwa wote pale Muhimbili pia unafuu wa gharama, waweke sehemu nyingi za jiji.
Tunywe maji!