""Heri ya X-mass na mwaka mpya 2012-2013"" tuma salamu zako kwa uwapendao na pia uwachukiao....

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
Husika na kichwa cha siredi hapo juuu.
Mimi stevoh naanza kutuma salamu zangu kwa wafwatao sijaanza kwa mfumo wa "decending order or accending order" hii ni "random selection" naweza kurudi kuja kuongeza ila naanza na faunda ambaye jina lake nahisi nakoseaga kuandika.
-Marcello
-Mr. Rocky
-sweetylady
-charminglady
-Madame B.
-babu Asprin
-kongosho
-arushaone
-mzizimkavu
-chief-mkwawa
-preta
-judgement
-lizy
-liverpoolfc
-eriki5...
-remmy
-invisible
daaah list ndeeeefu "to be continued......
 
Asante kwa salamu....!
Nawasalimu wana chitchat woooooote!
Special greetings kwa Amyner
 
Last edited by a moderator:
ndio kwanza tar 4 hata snow hatujaishuhudia hadi ifike hizo sikukuu si salamu zitakua zime-expire
 
Aksanta Mhe STEVo nami nasukuma kwa machitcht in general.
Skukuku njema.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom