Heri ya siku ya wavuja jasho!

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
420
939
Habari zenu!

Ewe mfanyakazi na hata ulie jiajiri katika sekta binafsi. Siku kama hii ya leo 01/05 unaitumia kutafakari nini juu ya ufanisil jitihada na juhudi ulizofanya kufikia malengo ya mwajiri wako? Au unawaza kuongezwa mshahara tu?

Nawe uliejiajiri je umefikia malengo yako na uliowaajiri wamekusaidia kufika matarajio?
#Tutafakari

Tuchape kazi!
#KaziIendelee!
20210102_205724-1.jpg
 
Back
Top Bottom