heri ya mwaka mpya wana JF na WATANGANYIKA WOTE

mbalila

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
823
157
mwaka mpya ndiyo huoooooooooooooooooooooooooooooooo na Tanganyika mpya ndiyo hiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo karibu sana 2014 na Tanganyika yetu nina furaha tele
 
Nafurahia kuona mtanganyika anajivunia Tanganyika yake kuliko TANZANIA ya Nyerere.
 
...asante mtanganyika mwenzangu,nawe pia.nashauri nida ibadili vitambulisho vya uraia na viwe vya mtanganyika...
 
Back
Top Bottom