Heri Ya Mwaka Mpya Jf Members Wote

Maarifa

JF-Expert Member
Nov 23, 2006
4,407
2,000
Ninawatakia heri ya mwaka mpya 2008. I thank you all guys kwa kazi kubwa ya kukosoa, kelimisha na kuhabarisha kupitia JF. I have learned a lot through JF and Hopeful moto huu utazidi kuwaka na watu mtazidi kukemea bila woga. JF imekuwa cheche ya mawazo huria. God bless you all.
 

Rwabugiri

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
2,777
1,195
Asante naweye, na wana JF wote na wageni wote wanao tutembelea nawatakieni heri ya mwaka mpya, uwe wa mafanikio kwenu nyote.
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
85,348
2,000
Mi tayari nina dazeni nzima ya mayai viza. Walevi watanikoma leo....kuna sehemu hiyo nikijibanza hamna atayenipata. Mi ntakuwa natungua tu...
 

green29

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
312
225
Mi tayari nina dazeni nzima ya mayai viza. Walevi watanikoma leo....kuna sehemu hiyo nikijibanza hamna atayenipata. Mi ntakuwa natungua tu...
Lo salaleeee... acha mambo hayo Nyani, waache walevi waanze mwaka kwa furaha na harufu nzuri ya gongo, chang'aa, na jasho la mapapai, hayo mayai viza mwachie kuku afanye recycling!

Heri ya mwaka mpya kwa JF wote
 
Top Bottom