Heri ya kuzaliwa Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Amani Ya Bwana Iwe Nanyi Wapendwa.
Nichukue Fursa Hii Kumtakia Na Kumpongeza Sana Rais Wetu Mzalendo Dr John Magufuli Katika Kusherekekea Siku Yake Ya Kuzaliwa.
Mungu Wetu Azidi Kukupa Ulinzi,Hekima,Moyo,Nguvu Na Ari Zaidi Ili Uendeleze Mapambano Ya Kulinda Rasilimali Za Nchi Yetu.Tutaendelea Kupaza Sauti Zetu Tukikemea Wala Rushwa,Mafisadi,Wasaliti,Wahujumu Uchumi Na Wote Wanaotaka Kuturudisha Nyuma.

Happy Birthday To You
Our Dear President.

Boniphace.N.Kichonge.
Kada Mzalendo.
Arusha
2017/10/29

Historia Fupi Ya Rais Wetu Wakati Tukisherekea Siku Yake Ya Kuzaliwa:-
1) Elimu
-Shahada Uzamivu ( 2006-200) UDSM
-Shahada Uzamili (1991-1994) UDSM
- Shahada Ya Kwanza Ya Elimu Kemia Na Hisabati (1985-1988)
- Stashahada Kemia Na Hisabati (1981-1982)
2) Kazi:-
-Mwalimu Wa Kemia Na Hisabati ( Sengerema Sekondari (1982-1983)
- Mkemia Chama Cha Ushirika Nyanza (1983-1985)
3) Siasa
-Mbunge Wa Kuchaguliwa Kwa Kura Nyingi Biharamulo Mashariki (1995-2015)
-Unaibu Waziri- Ujenzi ( 2000-2005)
-Waziri
- Ardhi (2005-2008)
- Maendeleo Ya Mifugo Na Samaki (2008-2010)
-Ujenzi (2010-2015).
4) Tarehe Muhimu
- Kuchaguliwa Mgombea Urais Wa CCM (12/07/2015)
-Kutangazwa Na NEC Kuwa Rais Wa Awanu Ya Tano ( 29/10/2015)
- Idadi Ya Kura 58.46%
-Kuapishwa Rasmi (5/11/2015)
- Kuteua Baraza La Mawaziri ( 10/12/2015) Baraza Lenye Jumla Ya Mawaziri 34.
Karibuni.
 
hahahaha nguvu ya kukemea wala rushwa hahahahaha!!! haijawahi tokea
 
Amani Ya Bwana Iwe Nanyi Wapendwa.
Nichukue Fursa Hii Kumtakia Na Kumpongeza Sana Rais Wetu Mzalendo Dr John Magufuli Katika Kusherekekea Siku Yake Ya Kuzaliwa.
Mungu Wetu Azidi Kukupa Ulinzi,Hekima,Moyo,Nguvu Na Ari Zaidi Ili Uendeleze Mapambano Ya Kulinda Rasilimali Za Nchi Yetu.Tutaendelea Kupaza Sauti Zetu Tukikemea Wala Rushwa,Mafisadi,Wasaliti,Wahujumu Uchumi Na Wote Wanaotaka Kuturudisha Nyuma.

Happy Birthday To You
Our Dear President.

Boniphace.N.Kichonge.
Kada Mzalendo.
Arusha
2017/10/29
Wacha ninyamaze tu, nisije kuropoka kama waropokaji wengine watu wakashindwa kunitofautisha na walevi wa POMBE
 
Happy birthday Mr Magufuli.Mungu akupe maisha marefu yenye hekima na fanaka.Utuongoze kwa Upendo na amani.Nakuombea Hekima ziwe nyingi na Mungu akutunze wewe na familia yako na watanzania wote.
 
images


Happy birthday C in C.
Miaka 58 iliyopita anazaliwa rais wa JMT,ndugu John Pombe Magufuli.
Vyombo kadhaa vya habari vya kimataifa vinamtaja kama almasi iliyo mchangani.

Ni nadra sana kupata almasi (rais mzuri) kutoka mchangani (Afrika)
Tanzania president John Magufuli discloses his salary on TV | Africanews

kutoka jarida maarufu la wanazuoni wa Kiafrika (African Argument)-Tanzania: Magufuli’s mining reforms are a masterclass in political manoeuvring - African Arguments

Kutoka Reuters-Tanzania's Magufuli rejects calls to extend rule beyond two-term limit

Kutoka gazeti la kiengereza la Herald-Magufuli takes Canadian mining giant head-on | The Herald

Kutoka nyumbani hapa (The Citizen)-President Magufuli launches modern railway project

Dubwasha watumishi hewa lilivyokomeshwa ndani ya miaka miwili pekee -Rais Dkt Magufuli awapa siku 15 Wakuu wa Mikoa kuwaondoa watumishi hewa walio katika orodha ya malipo ya mishahara ya... | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania Today


To be continued .
 
Kumbe hii ndo siku mbaya zaidi iliyosababisha ugumu Wa maisha ya Watanzania kwa sasa kwa kuruhusu atokee binadamu asiye na chembe ya huruma kwa wenzake? Na ilaaniwe siku hii iliyosababisha TAIFA letu kuelekea kusikojulikana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom