Heri ya kuzaliwa mgunduzi wa periodic table

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,942
3,606
Unaifahamu Periodic Table ile inayotumika kutaja elements kwenye somo la Kemia!!? Kama unaifahamu, sasa aliyeibuni anaitwa Dmitri Mendeleev, ambaye ni raia wa Urusi.
Alizaliwa tarehe kama ya leo, Februari 8, 1834 huko Urusi.
Dmitri-Mendeleev-1834%E2%80%931907-2.jpg

Neno moja kwake kwa uvumbuzi wake.
 
Back
Top Bottom