Heri ya krismas na mwaka mpya kwa wanaJF.

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,729
Ni mwaka unakatika sasa. Tumekuwa wote humu jukwaani tukibadilishana mawazo na kuelimishana.

Huu uzi uwe mahususi kwa wanaJF kutakiana heri za krismasi na mwaka mpya popote tulipo. Mwaka unapokatika tunamaliza tofauti zetu na kuanza upya mwaka unaofuatia.

Karibuni wanaJF.
 
Back
Top Bottom