Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Kijana mmoja mwenye macho makubwa alikuwa na msihana wake. Siku moja akaulizwa na KIDENISHI wake sababu gani ilimfanya awe na macho makubwa namna hiyo. Kijana akafikiri kwa haraka haraka akaja na jibu " Unajua mie wakati ni mdogo nilikuwa ninalia sana, sasa hii ilipelekea macho kuwa makubwa." Yule dada akamwangalia kwa huzuni na nikusema " Too bad. Heri utotoni ungelikuwa UNAKOJOA SANA."