Heri kuwa mbunge ukapata mil 90 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Heri kuwa mbunge ukapata mil 90

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kisendi, Feb 15, 2011.

 1. K

  Kisendi JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 700
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Watz ni heri kuwa mbunge tu, Maana kama mbunge kwa kipindi hiki amelipwa mil 90 ( Mwananchi Source Today) . Chukua mili 90 mara wabunge 360, Hii nchi Jamani wengine tunaliwa tu.

  Kweli ni heri nijiandae kugombea mwaka 2015. Kule ndio kuna matunda hizi kazi zetu za mil 1 kwa mwezi ni sawa na hakuna.

  KWELI TUTAFIKA
   
Loading...