Heri kuishi kwenye paa la nyumba kuliko mke mgomvi!!mith 21:9

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi.
(Mithali 21:9)

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,777
4,625
so ukwiru ukikuapata huko juu je???mana ukikupatia ndani ya nyumba waweza piga kitu cha make up sex

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
Umenikumbuasha mbali mjomba wangu mmoja bahati mbaya ameachana na mkewe alisema alifikia akiamka asbh anachukua pepsi na kunawa uso akihisi yale maji ndio yanafanya kutokuwa na amani nyumbani...mungu awape nguvu mnaopitia wakati huu mgumu mzito kwenye ndoa kuliko kufiwa

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
23,436
44,992
PROVERBS;21:9
Better to dwell in a corner of a housetop,than in a house shared with a contentious woman.
yaani nmeipenda sana mkuu.hii ni dedication tosha kwa walengwa.
wewe una akili sana.mia

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
48,449
18,454
Figganigga
ahsante ila wewe unayo zaidi nilishasahau kuna wachina wanasomaga hii jf thanks again
khoug shou shine
ikazu iwacu

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,445
2,479
mhh pdidy hapa watulisha kasa hiki sio kichina wajamini shou shine tena
mada yako nzuri ila maana halisi ya mithali hii twaweza sema ni bora kuchukua muda wako mwingi kumtukuza mungu na kufanya matendo mema kuliko kupoteza muda wako mwingi kushindana na mambo ya kidunia kama mali na tamaa nyinginezo ambazo husababisha tamaa, kuuana,wivu nk .tukimaanisha kukaa kwenye kona ya nyumba huyo mwananke anaweza kukupigia kelele hata huko juu ya paa au kwenye kizingiti cha nyumba.

Figganigga
ahsante ila wewe unayo zaidi nilishasahau kuna wachina wanasomaga hii jf thanks again
khoug shou shine
ikazu iwacu

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
790
Ni Afadhali!

Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi.

(Mithali 21:9)

Ni heri sana. Bible yatufariji ktk mengi sana!

0 Reactions
Reply
Top Bottom