Heri James (CCM), inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lissu risasi, alitishia Sindano

Da. Kweli madaraka ni kitu cha ajabu. Mwezi wa pili mwaka huu watu kama hawa walikuwa wanaonekana kama miungu watu. Walikuwa ''wanaabudiwa'' na walamba viatu kila wanakokwenda. Kila nikifikiria watu waliopita kwenye situation kama hizi eg Ridhiwani, Makonda na huyu huwa nasema madaraka yanafanya mtu aone kama hatakufa.
Kuwaacha hawa bila kuwagusa wakati huu ni kuhalalisha uovu katika jamii.
 
Kuna moja huko North zone anaishi kama digidigi,maisha ya kujificha. Ukiwa kiongoz ,omba hekima ya Mungu,usijisahau.
 
Da. Kweli madaraka ni kitu cha ajabu. Mwezi wa pili mwaka huu watu kama hawa walikuwa wanaonekana kama miungu watu. Walikuwa ''wanaabudiwa'' na walamba viatu kila wanakokwenda. Kila nikifikiria watu waliopita kwenye situation kama hizi eg Ridhiwani, Makonda na huyu huwa nasema madaraka yanafanya mtu aone kama hatakufa.
Hakika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom