Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Jamani kwenye forum za Jukwaa la Siasa na Uchaguzi 2010 watu wanaparurana. Kumejaa udini, siasa za maji machafu, n.k. Yaani nafikiri watazivunja hata computer zao!
Yaani forum hii raha tupu. Mie baada ya kuhama kwenye forum hizo mbili, nimeongezeka uzito kilo mbili. Halafu mke wangu (my wife) ananisifu kuwa siku hizi nimekuwa mme mwema ghafla.