Habari zenuuu, hodi hodi waungwana. Naombeni mnipokee humu Jamvini. Nimeamua kuwa member badala ya kuwa guest user kila siku. Ahsanteni.
Karibu sana Faudhia Massawe. Vipi una undugu na Kanali Fabian Massawe au majina tu? Anyways mi naitwa Mwita Chacha Werema na unapozungumzia watu 3 maarufu sana JF huwezi ukathubutu kuacha kulitaja jina langu.
Dah, Mwita25, umejitahidi, lakini ni neither of the two....ni jina lisilokifupi cha majina/maneno yoyote. Nashukuru sana kunikaribisha.
karibu mnooooooooooooo na umefanya maamuzi sahihi mnoooooooHabari zenuuu, hodi hodi waungwana. Naombeni mnipokee humu Jamvini. Nimeamua kuwa member badala ya kuwa guest user kila siku. Ahsanteni.