Here comes Shingo

Shingo

Senior Member
Mar 26, 2009
127
37
Nimefurahi kuwa mmoja wapo wa walioko kwenye hii jamii ya mtandaoni.
Asanteni.

Napenda siasa uchumi na mapenzi.

Shingo
 
Karibu Shingo
mapenzi unamanisha nini lakini? anyway karibu saaana hayo uyapendayo utayapata hapa.
KRIB!!
 
Back
Top Bottom