Henry Matata kuwa MC mazishi ya Clement Mabina... ndege wafananao hawatupani!

Status
Not open for further replies.

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,060
22,755
Meya feki kuongoza kamati ya maandalizi ya mazishi ya Diwani jambazi...kaazi kweli kweli.

01.mabina+3.jpg


by courtesy of

SABA WATIWA MBARONI KWA MAUAJI YA MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM NA ALIYEKUWA DIWANI WA KATA YA KISESA. ~ g sengo
 
Chuki hupofusha! Kwa hiyo kushiriki Mazishi ya Mtu msiokubaliana nae kisiasa ni Usaliti? Kwa Roho kama hizi mlichopata 2010 ni haki yenu! 'Ujambazi' wa Mabina hauhalalishi ulichokisema!
 
Hao wote ni majangili,manyangh'au,bado Matata nae mtamsikia tu kwamba nae kaliwa,kwa sbb na yeye huwa anatembeza bastola nje nje hadi kwenye vikao!!!
 
Teh teh, lakini kuzika wote ni ruksa, wawe majambazi, wazinzi, vibaka nk. Pia kuzika ni ibada!
 
Akili za bavicha kunywa gongo ndio zinatufikisha hapa. Acheni uzushi usiokuwa na maana
 
Huyu Mabina alikuwa muumini wa dhehebu gani? AIC, KKKT, RC, Anglican, SDA, Menonite au???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom