Henry Kilewo: Msimtukane wala msimdhihaki msameheni maana matendo yake yatageuka kuwa neema na dhabihu kwetu

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
kileo.jpg
 
Naona wachaga mumepamba Moto Mara Kileo asema,Askofu shoo asema,Komu asema,Ndosi asema, mbowe asema,Malisa asema nk wote wanasema dhidi ya serikali haya weeeee
kweli ccm imekua nyumba ya kuropoka kwanzia babu mpaka wajuku kilewo ni mchaga?
 
Kilewo kwanini una wahusisha makamnda kwenye ugomvi na mkeo?
 
Saccoss ya wachaga + mpare mmoja(mange)
Sugu, msigwa, bulaya, heche, Prof. J, Prof. Safari nao ni wachaga+ wapare? Jerry Muro, Agrey Mwanri, Prof Maghembe ni kabila gani na wako chama gani? Ccm mnapenda sana kuhamasisha udini na ukabila! Enzi zile Cuf ikiwa na nguvu mliwakomalia na ishu ya udini, baada ya kumnunua Lipumba mmeachana nao na kuwageukia Chadema! Acheni hizo, sisi sote ni ndugu bhana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom