Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.

Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.

Marekebisho kidogo:

HENRY KILEO.na sio KILEWO

Nawatakia kila la heri kwenye muafaka mpya wa maisha yao ya ndoa.

nelly.jpg

Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''

Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''

mhh wewe jaman mbona ivo?
we wamwona anatisha lakkin joyce kamkubali tena anamwona HB KINYAMA...wewe sura yako ikoje?

kwan watu wanapenda sura?

we mwita ntakugecha shaur yako

Duh! The bridegroom has a face like a bull chewing wasps. I am wondering how Joyce got to fall in love with such a somber visaged dude. Now I have to start to hold to a notion '' love is blind''

Kila mtu ana uhuru wa mawazo, lakini nna mashaka na huu.....Mheshimiwa Mwita, shukuru Mungu if you have the best look on earth, coz watu hawachagui jinsi ya kuumbwa.

Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
You must be kiddin me, go back to your senses

17 Reactions
Reply
Back
Top Bottom