Henri joseph 'sindika' asaini konvinga fc-norway,four years | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Henri joseph 'sindika' asaini konvinga fc-norway,four years

Discussion in 'Sports' started by Teamo, Jul 1, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hivi tunavyoongea,SINDIKA ameshasaini mkataba wa miaka minnena KONVINGA FC-NORWAY,timu ya daraja la kwanza hiyo mwanawane.Amesisisitiza ni 'mkataba mnono' wa miaka minne,ila ameomba wakala wake asitaje kiwango cha pesa anachokula

  muda huu naandika thread,sindika anashughulikia flat ya kuishi yeye huko norway,na kufungua akaunti ambayo 'kitita' hicho kitakuwa kunaingia

  dah!MPIRA UNAKUA SASA TANZANIA
  HONGERA SANA BABA!
   
 2. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Kila la heli mwawane mafanikio ni muhimu.
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Haya ni maendeleo kwa mpira wa Tanzania, hongera sana Henry Joseph!
   
 4. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #4
  Jul 1, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  This bwana mdogo is really good. Discipline + hardworking atafika mbali
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  fact!
   
 6. Amosam

  Amosam Senior Member

  #6
  Jul 2, 2009
  Joined: Jan 15, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Umeonyesha njia Henry,bravo.
   
 7. M

  Mopao Joseph Member

  #7
  Jul 2, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Big up sana ila usjisahau kama wengine!!!!
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Nasikia dogo atakuwa anakula 15m kwa mwezi.....na kila game analipwa 1000$ duuu atakuwa juuu mnoo...ila sasa asije akajisahauu kabisaa maana ss wa tz ni balaa..utashangaa anarudi baada 1 yr bonge la ndambii
   
 9. N

  Ndaga Senior Member

  #9
  Jul 2, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 164
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  The bright future is in us, let's do something! Yes we can!
  Go! Henry! Go! upstair!
   
 10. k

  kosamfe Member

  #10
  Jul 2, 2009
  Joined: Apr 14, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni mfano kwa wachezaji wengine ambao wanakimbilia kuanza na ligi kubwakubwa ambazo ni juu ya uwezo wao. Wakaanze kwanza kwenye ligi za size ya kati na baadaye wataonekena na timu za ligi kuwa baada ya kujituma na kufanya vizuri
   
Loading...