Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,420
- 2,271
Bongo FC timu machachari katika jiji la Helsinki jana walifundishwa jinsi ya kucheza soka na wabongo wa Tampere maarufu kwa jina TAS... Bongo FC ambayo inajiandaa na safari ya kwenda kucheza na Kilimanjaro FC ya Sweden, ilijikuta ikiwa na wakati mgumu pale ilipufungwa bao 3-1... Wabongo wa Tampere sasa wanatuma salaam kwa Wabongo wa Vaasa wajiandae kuja na vikapu vya magoli...
Baadhi ya wachezaji wa Bongo FC wakijiandaa na mpambano wa TAS....
Wachezaji wa Tampere(TAS) wakipanga mikakati ya kutoa dozi kwa Bongo FC
Benchi la TAS
Wapenzi wa TAS wakishangilia moja ya dozi kwa Bongo FC
Wachezaji wa Tampere(TAS) wakipanga mikakati ya kutoa dozi kwa Bongo FC
Benchi la TAS
Last edited: