HELSB: Lipa laki 1 riba ya mkopo isiendelee kuongezeka

kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
8,647
9,574
Habari Wanabodi, Week iliyipita nilifika ofisi za bodi yamikopo kwa elimu ya juu kuangalia deni langi limefika kiasi gani nikakuta limefika milioni 11+ kutoka kutoka milioni 7+ wakati namaliza chuo.
Baada ya maongezi wakanishauri hata kama sina kazi niwalipe hata laki 1 kwenye acc ya Board ili kuonyeha nina nia ya kulipa na riba haitaongezeka tena deni litabaki pale pale !

Je, kuna ukweli wowote katika hili, kama nimewapa na vielelezo kua sijaajiriwa na sina kipata cha kueleweka wanaweza kusitisha riba kwa kuwalipa laki 1 isiyo na mwendelezo ?
 
mi skujua ata kama ni laki niliisi ni ela yoyote ila unavozidi kucherewa litaongezeka hutaamink
 
mi niko mwaka wa kwanza ila nkipga hesabu mpaka nimalize ntakua na deni la 12+M
 
Ndo hofu yanguu m
mi skujua ata kama ni laki niliisi ni ela yoyote ila unavozidi kucherewa litaongezeka hutaamink
Ndo hofu yangu maana sina uwezo wa kuendelea kulipa kila mwezi maana sina kipato cha kueleweka
 
Deni la HESLB ni janga la watumishi kwenye mshahara kukatwa 108000 sio mchezo
 
Back
Top Bottom