helsb hakuna kitu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

helsb hakuna kitu!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by huskryderz, Sep 7, 2012.

 1. huskryderz

  huskryderz Member

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  hivi hawa jamaa wa bodi ya mikopo elimu ya juu wa mpango gani na elimu ya Tz, pia utaratibu unaotumika sasa na selikari katika kusaili wanafunzi wa vyuo vikuu (new entry) umekuwa kama waubahatishaji cuz upande wangu sijawaelewa mpaka sasa kwan wametoa kwamba umekuwa admitted but hakuna info yeyote toka chuo husika kuhusu kujiunga na chuo au taasisi hiyo!
   
 2. K

  Konzogwe JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 441
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Hata mimi nashangaa!
   
 3. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Haya Ni mawenge tu yakwenda shule, Ila test, assigment and msimu Wa sup ukianza utaacha!

   
 4. T

  Tango one Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usimtishie mwenzako walofika wananini majeshi mbele kwa mbele so unataka kumwambia asiende kwaajili ya sapp acha wenge wanaboa kweli acha aseme alichonacho
   
 5. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We kwel uttoh hzo test toka 2anze shule 2meshafanya nying sana so kusupp nimatokeo 2.
   
 6. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizi ni sera za 'fb'
   
 7. nasssen

  nasssen JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 80
  tuwe wavumilivu wakuu......PATIENCE IS BETTER!!! Lakini si watatoa tu??
   
 8. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  waulize walioelewa halafu usidhani info zitakujia tu kama maono au ndoto.
   
 9. huskryderz

  huskryderz Member

  #9
  Sep 10, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  wewe uttoh usije ukajiona umesoma kwenye hii jamiiforums,hzo supplimentally tulifanya hata xul mzaz wako hajafikilia kukupeleka nursary na kipindi nafanya desertion ww upo primary school. sasa usijifanye kujua kutoa comments humu bila kujifahamu,unajiona msomi wakati unafundishwa na tutors na unategemea kupata level yao kielimu na certificate zenu!
   
Loading...