Helpless:...My Dad's Gone! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Helpless:...My Dad's Gone!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by PakaJimmy, Jan 26, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Wakuu,

  IAM SHOCKED!

  HARDEST TIME ON EARTH FOR ME!

  Nimepata habari sasa hv nikiwa ofisini, babaangu mzazi amefariki huko Dar hosptal ya Amana.

  Niko KWENYE MIPANGO YA SAFARI KUJA DAR, mIpango ya mazishi inafayika KITUNDA, then safari kwenda kwetu Mbeya!

  This is jst for info!
   
 2. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  HEY jIMMY mY CONDOLENCE TO U AND UR FAMILY,SISI TULIMPENDA BUT MUNGU KAMPENDA ZAIDI,NA HIYO NI NJIA YETU SOTE,POLE SANA ZIDI KUMUOMBEA ALALE MAHALI PEMA PEPONI AMIN.
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  oooh!..MY GOD!........
  ngoja nikupigie simu!
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  pole sana PJ jamani, Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu...
   
 5. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  i will be there for you!mwanzo hadi mwisho
   
 6. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana , sote tuko safari moja, Mungu akupe nguvu on this hard time
   
 7. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,517
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Pole sana. R.I.P mzee wetu. Mazishi yatafanyika Mbeya sehemu gani ili tuungane katika kipindi hiki kigumu?
   
 8. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Mbeya sehemu gani??
   
 9. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Dah mkuu PakaJimy!

  Pole sana tena sana mkuu! Mungu akutie nguvu..najua ni kipindi kigumu sana kwa sasa hivi..lakini yeye AMETOA na yeye ndiye ANAYETWAA...ili utukufu wake uonekane na watu wote wamjue kuwa ni YEYE peke yake mwenye kutoa na kutwaaa apendavyo.

  Majaribu yapo ili tuyashinde! Ninaamini hata katika hili utashinda!

  Pole sana!
   
 10. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ninawapa watu namba zako wakupe pole mkuu!...
  watakupigia
   
 11. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  POLE SANA KAKA! Mungu awape faraja!
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Pole sana BWANA AMETOA,BWANA AMETWAA....
   
 13. Guyana Halima

  Guyana Halima Member

  #13
  Jan 26, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana. Mungu akuongoze katika kipindi hiki kigumu wewe na familia yako. Pole sana.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Pole sana mkuu, Mungu yupo nanyi atawafariji katika wakati huu mgumu
   
 15. Tshala

  Tshala JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Pole sana kaka. Mwenyezi Mungu akutie nguvu wewe na Familia yako. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe.
   
 16. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Pole sana Mungu awape nguvu za kukabiliana na tatizo hili kubwa. Awabariki awalinde na awatangulie katika safari yenu kutoka Arusha kwenda Dar es salaam na kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya. Ninyi mlimpenda lakini Mwenyezi Mungu alimpenda zaidi.

  Bwana ametoa Bwana ametwaa
   
 17. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Thx kold him tayari
   
 18. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kaka,
  pole sana! kweli saari ya maisha ni fupi! yaani hatujui nini kifuatacho ndani ya sekunde moja mbele!
  Pole sana kwa msiba mzito, dah baba....inauma sana!
  May his soul rest in peace!
   
 19. D

  Dina JF-Expert Member

  #19
  Jan 26, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Pole sana ndugu, Mungu awape ujasiri na moyo wa subira...
   
 20. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #20
  Jan 26, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Pole sana.Jitie nguvu.
   
Loading...